BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KIPAUMBELE CHAKE NI BARABARA, ELIMU, AFYA NA WAZEE
Waziri
wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee, akizungumza na Waandishi wa
habari kuhusiana na Muelekeo wa Bajeti ya mwaka 2015-2016, imetowa
kipaumbele katika Sekta ya Afya Barabara na Elimu, kulia Mhasibu Mkuu wa
Serekali Ndg Omar Hassan King na kushoto Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Fedha Zanzibar Juma Ameir, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa
Wizara ya Afya Vuga Zanzibar.
Maofisa
wa WEizara ya Fedha wakifuatilia mazungumzo hayo ya Waziri Omar na
Waandishi wa habari katka ukumbi wa Wizara ya Fedha Zanzibar wakati
akitowa Muelekeo wa Bajeti ya SMZ.
Waandishi
wa habari wakifuatilia maelezo ya Waziri wa Fedha Zanzibar akizungumzia
muelekeo wa Bajeti kwa mwaka huu wa fedha inayotarajiwa kusomwa wiki
ijayo katika Kikao cha Baraza la Wawakilishi cha Bajeti ya mwaka
2015-2016.
No comments:
Post a Comment